ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, April 8, 2025

SIMULIZI YA KUSISIMUA MZEE KARUME ALIVYOUAWA KWA RISASI.

 NA ALBERT G. SENGO

APRILI 7 mwaka 1972 visiwa viwili vya Unguja na Pemba pamoja na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, huzuni kubwa ilitanda kutokana na kuuawa kwa kupigwa risasi Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Hayati Sheikh Abeid Amani Karume.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.