NA ALBERT G.SENGO/MWANZA
Safari yangu imeanzia barabara ya Makongoro katika eneo la Kona ya Bwiru na mwisho nikaweka kambi katika barabara ya kuelekea uwanja wa CCM Kirumba jijini hapa, ambapo changamoto kubwa ilikuwa kuvuka kutoka eneo la A2C Bar kwenda ilipokuwa Villa Park .Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.