ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Saturday, September 21, 2024

ALALA MASIKINI NA KUAMKA TAJIRI BAADA YA KUJISHINDIA MILIONI 20 ZA VODACOM

NA ALBERT G SENGO/MWANZA Ukisikia ‘kulala masikini na kuamka tajiri’ basi ndiyo huku. Hebu tazama mwenyewe jinsi jamaa huyu aliyetambulika kwa jina la George Thobias mkazi wa Nyamongo Tarime mkoani Mara akisimulia jinsi alivyojishindia milioni 20 bila kutarajia kutoka Mtandao supa nchini Tanzania Vodacom. Katika Shindano hilo lenye Kampeni iliyopewa jina la Ni BALAAA! limefanikiwa kuwapata jumla ya washindi 10, Watano waliojinyakulia kitita cha shilingi laki tano (500,000/=) kila mmoja, wanne wakijinyakulia shilingi milioni moja kila mmoja (1,000,000/=) na mmoja aliyetusua kitita cha shilingi milioni ishirini taslimu (20,000,000/=)

#vodacomtanzania #samiasuluhuhassan

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.