ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, August 26, 2024

'HUYU HAPA AMIRI JESHI MKUU WA TANZANIA"

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan hivi majuzi ameonekana akiwa pamoja na viongozi na askari wa vikundi mbalimbali vya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika eneo la Pongwe Msungura, Msata mkoani Pwani kwenye zoezi lao la Medani, ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Miaka 60 ya JWTZ ifikapo Septemba 1 mwaka huu. 

"Tunaendelea kujivunia jeshi letu shupavu, lenye uwezo, weledi, nidhamu, uzalendo na utayari wa hali ya juu katika ulinzi wa nchi yetu" alisema Mhe. Samia.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan hivi majuzi ameonekana akiwa pamoja na viongozi na askari wa vikundi mbalimbali vya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika eneo la Pongwe Msungura, Msata mkoani Pwani kwenye zoezi lao la Medani, ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Miaka 60 ya JWTZ ifikapo Septemba 1 mwaka huu. 

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.