NA ALBERT GSENGO
ILIKUWA Tarehe 27 Mwezi July 2024 Rasmi aliyekuwa waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. January Makamba alikabidhi Leo Ofisi kwa Mhe Waziri Mahmoud Thabit Kombo. "Nimempongeza, kumtakia heri na kumuahidi ushirikiano. Nimemshukuru Mhe Rais kwa imani na fursa ya kuhudumu. Nimeishukuru familia nzima ya Wizara kwa kazi tuliyofanya pamoja na kuwatakia kila la kheri" alisema Makamba.Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.