ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Friday, June 14, 2024

SHINDANO SAMIA CHALLANCE LATINGA MWANZA KAMA KUMSIFIA RAIS UCHAWA BASI HATA WAPINZANI NAO NI MACHAWA

 NA ALBERT G. SENGO/MWANZA

"Mnasema ninyi siyo CHAWA Jeh ina maana mnawachukia machawa?" Ni swali la mwanahabari G. Sengo wa Jembe Fm Mwanza, katika Mkutano wa taasisi ya Africa Ant-Violence Journalist, ambao wako jijini Mwanza kwaajili ya kusimamia shindano la SAMIA CHALLENGE YOU KNOW, lililojikita katika kushindanisha wananchi rika zote katika kushindana kuainisha na kuelezea shughuli mbalimbali za maendeleo zilizofanywa na zinazofanywa Serikali hapa nchini. Shindano la 'SAMIA CHALLENGE YOU KNOW' kwa jiji la Mwanza litafanyika kwa siku mbili yaani Jumamosi ya Tarehe 15 na Jumapili ya Tarehe 16 ambapo washindi watatu watajinyakulia zawadi za fedha taslimu.

ZAIDI SIKILIZA TAARIAFA HII. #mwanza #samiasuluhuhassan

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.