ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, June 24, 2024

NILITOROSHWA KIPINDI CHA MAPINDUZI |NILIPANDISHWA MELI YA NG’OMBE|NILIKUTANA NA MUME WANGU MSIKITINI

 Aunty Asha ameeleza safari ya maisha yake kutoka Zanzibar mpaka kufika Marekani

Kipindi cha mapinduzi aliweza kuondoka kuelekea Dubai kupitia meli ya kusafirisha Ng’ombe ambako alitumia miezi mitatu baharini mpaka kufika Dubai. Alienda kusoma India na baadae kuendelea na masomo nchini Marekani ambapo alikutana na mume wake msikitini ambako alikua akifundisha Quran. Kwasasa ni Mkurugeni katika sekta ya afya na kua miongoni mwa Mkurugenzi wa kwanza wa kiafrika katika mahala anafanyia kazi. Subscribe to her YouTube channel ili kujifunza kuhusu Afya na kisukari ‪@ashafaulkner‬ Thank you Aunty Asha for allowing this to be online www.oda.international

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.