"Nimeachia Wimbo wangu unaitwa ONAA! Nitakutumia link unisaidie kushare , usisahau kususcribe na comments. Nitafurahi sana uki saport huduma hii iweze kuenea Tanzania na kwingineko duniani. Mungu akubariki sana mpendwa"
Tupe maoni yako
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment