Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu Dkt. Jim Yonazi ameongoza Kikao maalum kilichohusu uendelezaji wa Makao Makuu Dodoma, Kikao kimefanyika katika Ukumbi wa Ofisi hiyo Dodoma, Tarehe 9 Februari, 2024.
NEMC YAFUTURISHA SERENA
-
-Mwanasheria Mkuu wa Serikali -Mgeni rasmi
-Aahidi Ushirikiano wa Kisheria katika Uhifadhi na Usimamizi wa Mazingira
Nchini*
Baraza la Taifa la Hifadhi n...
0 comments:
Post a Comment