NA ALBERT G. SENGO/MWANZA
Taasisi isiyokuwa ya kiserikali ya usimamizi wa vihatarishi Tanzania imewakutanisha wadau mbalimbali kutoka sekta binafsi na umma jijini Mwanza kwa lengo la kutoa elimu na kuwajengea uwezo watendaji wa sekta mbalimbali nchini.Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.