NA ALBERT G. SENGO/MWANZA
Kutoka katika viwanja vya Nyamhongolo wilayani Ilemela jijini Mwanza hiki ndicho kinachoendelea. ........................................................................................................ MWENYEKITI WA KAMATI YA MAANDALIZI YA NANENANE KANDA YA ZIWA MAGHARIBI, MKUU WA MKOA WA MWANZA MHE. Mhe. CPA Amos Makalla ANAYO FURAHA KUUJULISHA UMMA KUWA, MAONESHO YA NANENANE MWAKA 2023 YANAFANYIKA KATIKA UWANJA WA NYAMHONGOLO ULIOPO MANISPAA YA ILEMELA KUANZIA TAREHE 01 HADI SIKU YA KILELE TAREHE 08/8/2023 WADAU, TAASISI, ASASI, MASHIRIKA NA MAKAMPUNI YOTE MNAKARIBISHWA KUSHIRIKI/KUONYESHA NA KUTANGAZA BIDHAA NA HUDUMA ZENU. KWA MAELEZO ZAIDI FIKA OFISI YA MKUU WA MKOA WA MWANZA IDARA YA KILIMOTupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.