NA ALBERT G. SENGO/MWANZA
JEMBE FM inakutana na Shimomo international Pte LTD ambao wao wamekuja na mashine ya kuvuta uchafu na vumbi kwenye carpet za majumbani, za kwenye magari na madirisha ni moja kati ya wadau wanaoshiriki Maonyesho haya ya 18 ya Biashara ya Afrika Mashariki (MEATF) yanayofanyika katika Uwanja wa Furahisha jijini Mwanza kwa wiki moja kuanzia Agosti 25, 2023 hadi Sepetemba 3, 2023. Pamoja na wenyeji Tanzania, washiriki wengine ni kutoka nchi za Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Sudan kusini na Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC).Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.