NA ALBERT G.SENGO/MWANZA
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Exaud Kigahe leo ametembelea banda la BRELA katika maenesho ya wafanyabiashara Afrika Mashariki (EAC) yanayofanyika katika uwanja uwanja Furahisha Mwanza yakiandaliwa na TCCIA Kutoka viwanja hivyo jijini hapa Jembe Fm inazungumza na wadau wa banda hilo wakati ukaguzi wa bamanda ukiendelea.Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.