NA ALBERT G.SENGO/MWANZA
πππ¨π ππ hii tarehe 7 mwezi wa 7 ni Sikukuu ya 7 7 vijana tunakutana katika mkesha wa kusifu na kuabudu pamoja na maombi unaofanyika katika kanisa la Philadelphia Gospel Assembly Buswelu Mwanza. Mc Suzuki anapata nafasi ya kuzungumza na baadhi ya wadau wahusika wa mkesha huo ambao kama ni vazi la usiku huo yaa π₯π₯πΏπ§ππ¨π¨ ππ€ππ - ππͺπ‘π‘ π¬πππ©π . MUDA kuanzia saa 3 usiku hadi majogoo. . βοΈπͺπππ ππππ πͺππ§ππππ’ππ¨πͺππ£π’. - Betha Andrew - Boaz Danken - Ester Nyanda - Goodluck Mombuli - Baraka John - Ben William - Martine Akida - Uswege Mtafya - Joel Kaema - Minister George βοΈβοΈβοΈβοΈβοΈβοΈβοΈβοΈβοΈβοΈβοΈβοΈβοΈβοΈβοΈβοΈβοΈβοΈβοΈβοΈβοΈ @boazdanken_worship_minister @im_benwilliam @mc_suzuki @jembefmtz @usegemtafya βοΈβοΈβοΈβοΈβοΈβοΈβοΈβοΈβοΈβοΈβοΈβοΈβοΈβοΈβοΈβοΈβοΈβοΈβοΈβοΈβοΈTupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.