NA ALBERT G. SENGO/MAGU
"Katikati ya tamasha la utamaduni la watu wa sukuma (Bulabo) nakutana na ngoma hii ya asili ambapo uchezaji wake na milio ya ala zake inanivutia na kunisisimua, sijui wewe? " #samiasuluhuhassan #bulabo #kisesa #mwanzaTupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.