NA ALBERT G. SENGO/MWANZA
Katikati ya maonesho ya mabaharia katika viwanja vya furahisha jijini Mwanza wakati burudani mbalimbali zikiwa zimetawala mioyo ya watu inatikiswa, vinweleo vinasisimshwa na kijana mdogo anayefungulia nyoka toka kwenye box la mbao na kucheza nayo ngoma, kundi laitwa Buyegu toka Kisesa wialayani Magu.Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.