NA ALBERT G. SENGO/KISESA/MAGU/MWANZA
Kujishughulisha huku na ufugaji na uwekezaji kwenye kilimo kuna uhitaji mwingi wa muda wa kutosha na ufuatiliaji, hamuoni kwamba mtakapoanza kufanikiwa huko mbele ya safari kundi kubwa mtaachana na shughuli zenu za usafiri na usafirishaji hivyo kuondoa maana au uhalisia wa jina lenu yaani Umoja wa Madereva na Makondakta Wafugaji wilaya ya Magu? Pata majibu ..........Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.