NA ALBERT G.SENGO
TIES ni kampuni ya inayojihusisha na kutoa huduma za kihandisi katika Nyanja mbalimbali za uhandisi ikiwemo uchimbaji wa madini. Kampuni hiyo yenye makao yake makuu Jijini Dar-es-salaam ilianzishwa April 18 mwaka 2019. Kampuni hiyo imebuni na kutengeneza mtambo wa kuchenjulia madini ya dhahabu wa CIP katika mgodi wa mwamanga uliopo katika kijiji cha BURIGE halmashauri ya msalala wilayani Kahama mkoani ShinyangaTupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.