Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan akivuta kamba pamoja na Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Kaguta
Museveni kuashiria uzinduzi wa Mradi wa Umeme wa Kikagati – Murongo, Mbarara
nchini Uganda tarehe 25 Mei, 2023. Mradi huo wa umeme utanufaisha nchi zote
mbili katika masuala ya Nishati ya umeme.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais wa Uganda
Mhe. Yoweri Kaguta Museveni wakati alipotembelea mradi wa kufua umeme wa
Kikagati – Murongo (Megawatt 16), Mbarara nchini Uganda tarehe 25 Mei, 2023.
Eneo la mradi wa
kufua umeme wa Kikagati – Murongo pamoja na Mitambo kama linavyoonekana
pichani, Mbarara nchini Uganda tarehe 25 Mei, 2023.
Eneo la mradi wa kufua umeme wa Kikagati –
Murongo pamoja na Mitambo kama linavyoonekana pichani, Mbarara nchini Uganda
tarehe 25 Mei, 2023.
Eneo la mradi wa kufua umeme wa Kikagati –
Murongo pamoja na Mitambo kama linavyoonekana pichani, Mbarara nchini Uganda
tarehe 25 Mei, 2023.
.Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais wa Uganda Mhe.
Yoweri Kaguta Museveni wakati wakisikiliza maelezo ya mradi wa kufua umeme wa
Kikagati – Murongo, Mbarara nchini Uganda tarehe 25 Mei, 2023.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.