Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Nyamagana mkoani Mwanza Mhe. Ezekiel Wenje ametoa ya moyoni kuhusu suala la ajira nchini.
Wenje ameyasema hayo akiwa kwenye ziara yake kuangalia na kutathimini hali ya biashara katika soko la Mchafukuoga lililopo kata ya Igogo jijini hapa. . . . #jembefmkimewaka2023🔥🔥🔥Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.