"Daaaah naona hapa Pamba Fc Wana tp Lindanda wanakosa Goli la wazi kabisa mzigo umegonga nguzo dk 29"
Mkuu wa mkoa wa Mwanza Adam Malima (aliyevaa miwani katikati) akiwa na kiongozi wa MZFA Lufano (kushoto)
Mchezo ukiendelea kati ya Pamba dhidi ya Kitayose Fc ni katika michuano ya Ligi Soka Daraja la Kwanza Tanzania Bara, aliochezwa katika dimba la Nyamagana kwa matokeo ya sare 0-0

WENYEJI, Pamba leo wamelazimishwa sare ya bila kufungana na Kitayosce katika mchezo wa Ligi ya Championship kuwania kupanda Ligi Kuu ya Tanzania Bara uliofanyika Uwanja wa Nyamagana Jijini Mwanza.
Mechi nyingine za Championship leo, vinara JKT Tanzania wamewatandika Mbuni FC 4-0, Mbeya Kwanza imetoka sare ya 1-1 na Green Warriors na Fountain Gate imeichapa 2-0 African Sports.
Msimamo wa Championship sasa JKT Tanzania ina pointi 59 kileleni, ikifuatiwa na Kitayosce pointi 50 baada ya wote kucheza mechi 24, wakati Pamba ni ya tatu kwa pointi zake 48 za mechi 23.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.