- Maono ya pastor Emmanuel Myamba juu ya Bongo Movie.
- Jeh umewahi kujutia au kutamani baadhi ya vipande vya uigizaji enzi zako vingefutwa? - Pastor Emmanuel Myamba akifanya mahojiano na mwanahabari wetu Mc. Suzuki wa 93.7 Jembe Fm ambapo humo pia kazungumza kuhusu marehemu #kanumba Jinsi alivyomuita katika tasnia ya uigizaji filamu. - Kuna vitu vingi watanzania wanavimisi toka kwa marehemu Kanumba. Hakuwa mchoyo kuwavuta watu kwenye tasnia ya uigizaji, ushuhuda upo.Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.