NA ALBERT G. SENGO/SIMIYU
Kamati ya Kudumu ya Bunge Uwekezaji na Mitaji ya Umma leo imetembelea Kiwanda cha uzalishaji Mataluma kwaajili ya ujenzi wa reli ya kisasa ya SGR kipande cha Mwanza - Isaka chenye urefu wa kilometa 341 kilichopo Seke wilayani Kishapu mkoani Shinyanga. Mwenyekiti wa kamati hiyo ambaye ni mbunge wa Ukonga Jerry SlaaTupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.