NA ALBERT G. SENGO/MWANZA
Jeh ni muda gani wa kikomo kwa gari likiharibika barabarani linatakiwa kuondoshwa? Na vipi kunapokuwa na misafara ya viongozi wa kitaifa na wakuu wa nchi, na gari lako likaharibika njiani? Sikiliza, fuatilia maswali ya wanafunzi wa Victoria Nganza High School na majibu toka kwa maafisa wa #TANROADSTupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.