ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, February 13, 2023

MKUTANO WA MWAKA WA WATOA HUDUMA WA SEKTA YA UTANGAZAJI TANZANIA.

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Dkt. Jabir Bakari akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Mwaka wa Watoa Huduma wa Sekta ya Utangazaji Tanzania unaofanyika Jijini Dodoma Februari 13 na 14,2023 katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete ambapo mgeni rasmi ni Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Kundo Mathew

Kauli mbiu ni Mchango wa Sekta ya Utangazaji katika kukuza uchumi wa kidigitali

Picha ya pamoja wadau wa Habari na meza kuu wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Mwaka wa Watoa Huduma wa Sekta ya Utangazaji Tanzania unaofanyika Jijini Dodoma Februari 13 na 14,2023 katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.