ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, November 7, 2022

SHUHUDA AJALI YA NDEGE ALIYEOKOA WENZIE NA WALIOSALIMIKA WAHADITHIA MWANZO MWISHO.

 WAKATI Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiagiza kijana Jackson Majaliwa, mvuvi wa Bukoba aliyefanikisha abiria 24 wa ndege ya Precision Air iliyopata ajali kuajiriwa kwenye Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, nyuma ya ahadi hiyo kuna simulizi nyingi za kusisimua.......

#bukoba #kagera #PrecisionAir

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.