NA ALBERT GSENGO/MWANZA
Kocha Mkuu wa Kagera Sugar, Mecky Maxime pamoja na Nahodha Charles Luhende wamezungumza maandalizi yao ya mchezo wa kesho Jumapili, wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Yanga Sc , utakaochezwa uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza. #SportsRipoti #michezolive #michezo #ligikuutanzaniabaraTupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.