NA ALBERT G.SENGO/ MWANZA
Kocha Mkuu wa Yanga Sc Nasreddine Nabi pamoja na Kiungo Mshambuliaji Yusuph Athuman wamezungumza Maandalizi yao ya kuvaana na Kagera Sugar kwenye Mchezo wa kesho Jumapili, wa Ligi Kuu ya NBC, utakaochezwa dimba la CCM Kirumba jijini hapa.Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.