ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, October 3, 2022

TIGO YAZINDUA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA MWANZA

 ALBERT G. SENGO/MWANZA

Kampuni ya Mtandao wa simu za mkononi ya Tigo Zantel Tanzania, imezindua wiki ya huduma kwa wateja ambapo kitaifa imefanyika jijini Mwanza, iliyoambatana na maandamano ya amani.

Akizungumza na wateja na watoa huduma kwa wateja wa mtandao huo Mkuu wa Kitengo cha Huduma kwa Wateja Mwangaza Matotola (katikati katika picha) amesema wapo tayari muda wote kuwahudumia wateja wao wapatao 14 Milioni, na kundelea 0kuboresha huduma zao kadri wateja wanavyotoa maoni.

Mc kazini.

Kwa upande wake Mkurugenzi wa Tigo Zantel Tanzania Aidan Komba amewashukuru wateja wa mtandao huo na kuwakumbusha kuendelea kufurahia hudua zao za kishua.

Edgar Mapande.
Wakuu wa Idara Tigo Mwanza.
Meza kuu na wapambanaji.
Maandamano ya sherehe.

Maandamano ya sherehe.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.