NA ALBERT G.SENGO/MWANZA
"Umegusia suala la Tezi dume hapo, wengi wanaume ukileta mjadala wa changamoto hiyo, fikra zao huelekea kwenye kile kipimo cha kidole ambacho wengi hukikwepa wakisema si rafiki, unatoa rai gani kwa wanaume?" Ungana na kamera ya Jembe Fm kujua vipimo mbalimbali vinavyofanyika toka katika kitengo cha MIONZI Hospitali ya St. Clare iliyopo Nyahinji, mkolani jijini Mwanza.Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.