ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, September 27, 2022

'WASANII WA MWANZA WANAOKIMBILIA DAR KUKAMATWA NA MCHONGO HUU'

 Tarehe 30 mwezi September 2022 kutakuwa na oparesheni maalum ya kusaka vipaji katika jiji la Mwanza, mchongo huu HATARI uko vipi?

Ungana na Mkufunzi, Mwelimishaji, Mwalimu wa ujasiliamali Paul Magola ambaye anafunguka bila kusaza jinsi oparesheni hiyo itakavyo endeshwa.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.