ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, August 24, 2022

"NDIYO MAANA HUFANIKIWI": PASTA AWAONYA WANAUME DHIDI YA KURAMBA NYETI ZA WANAWAKE.


Mchungaji mmoja kutoka nchini Nigeria Ebuka Obinna amewasuta wanaume wanaolamba sehemu za siri za wanawake kuthibitisha kuwa wanawapenda. 

Mchungaji Ebuka Obinna alisema wanaume wengi wanaopenda kuramba nyeti za wanawake hawafanikiwe. 

 Pasta huyo alifedheheshwa na kitendo hicho na kudai kuwa ndiyo sababu vijana wengi hawaoni mwanga maishani. 

Kulingana na Ebuka, kuweka mdomo katika sehemu ya siri ya mwanamke kunaweza kumleta bahati mbaya mwanamume na watoto wake endapo akajaaliwa.

 "Acha kuweka mdomo wako kwenye sehemu ya siri ya mwanamke, unataka kufanikiwa vipi, kinywa hicho hicho, ambapo biblia inasema nguvu ya uzima na mauti iko kwenye ulimi wako, unabeba mdomo wako na kuusimika ndani ya sehemu ya siri ya mwanamke. 

 "Angalia wavulana wanaopenda kufanya hivyo, laana ndogo ndogo huwafwata. Kutoka mahali mwanamke anavuja damu, akiona hedhi yake ya kila mwezi, unaweka mdomo wako kwa madai ya 'kuthibitisha kwamba unapenda' aibu kwako!" Alisema. Mhubiri huyo alibainisha kuwa kitendo hicho ni kinyume cha maadili na ndiyo sababu ya baadhi ya vijana hawana pesa. 

"Ndio maana hupati pesa. Kuanzia wakati huo, ulimi wako umechafuliwa. Kuweka mdomo kwenye sehemu ya siri ya mwanamke kunaweza kuletea masaibu mabaya," aliongeza. Katika makala mengine tofauti, mhubiri alizua ucheshi miongoni mwa wanamitandao, baada ya kufoka kwa nguvu akiwahubiria kina dada, na kuwaonya dhidi ya kukubali kuolewa na wanaume waliofuga nywele za rasta. 

Pasta huyo alionekana kumlenga mwanamume mwenye 'dreadlocks' aliyepita kando yake akihubiri, akiwa amendamana na kipusa alishangiliwa na wafuasi wake kwa kusema hivyo. "Wacha nirudie tena nyinyi wasichana musiolewe na marasta. Marasta hawafanyangi kazi ni majamaa ya kuzunguka akiuliza wasichana unanipenda... Usiolewe na rasta, kataeni marasta," mtumishi huyo alisema. 

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.