Tangazo kwa ajili ya Kazi ya muda ya Sensa ya watu na makazi itakayofanyika tarehe 23/08/2022.
Kazi zitatangazwa rasmi tarehe 01/05/2022 katika tovuti ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu ambayo ni www.nbs.go.tz
Mwisho wa kutuma maombi ni Tarehe 14 Mei 2022.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.