AFRICAN PRINTEMPS wameandaa bata la uhakika msimu huu wa sikukuu litakalofanyika katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti, lini na wapi sikiliza mpango mzima.
ENDORO WATER FALLS, MAAJABU MENGINE NGORONGORO
-
Mbaraka Mwinshehe aliwahi kuimba akiisifia Morogoro na jinsi maji
yanavyotiririka kutoka milimani.
Mwinshehe angekuwa hai pengine angefika maporomoko ...
0 comments:
Post a Comment