ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Friday, March 20, 2020

MWANZA KILA KONA NI MAPAMBANO YA CORONA


Baadhi ya wakazi wa jiji la MWANZA wameamka na kuanza kuchukua hatua na tahadhari ya kujikinga na maambukizi ya virusi vya ugonjwa wa korona hususani ni wafanyabiashara. Hatua hiyo imekuja kufuatia Serikali kupitia Wizara ya afya kuueleza umma kuwepo kwa wagonjwa wawili waliogundulika kuwa na virusi vya ugonjwa wa corona nchini na kuwataka wananchi kuchukua tahadhari.

Dkt. Phills nyimbi ni Mkuu wa wilaya ya Nyamagana anafanya ukaguzi kwenye maeneo yote ya huduma muhimu yenye huduma za mikusanyiko ikiwemo mashule,maduka ya bidhaa mbalimbali, mahoteli, hospitali ya mkoa na mahoteli jijini Mwanza kujionea utekelezaji wa agizo la serikali.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.