Madiwani wawili wa CHADEMA Jijini Mbeya wamehamia Chama cha Mapinduzi (CCM), Madiwani hao ni Lucas Mwampiki wa Kata ya Mwakibete ambaye alikuwa Mwenyekiti wa Madiwani wa CHADEMA na Diwani wa Kata ya Itagano, Hussein Wasoha.
ENDORO WATER FALLS, MAAJABU MENGINE NGORONGORO
-
Mbaraka Mwinshehe aliwahi kuimba akiisifia Morogoro na jinsi maji
yanavyotiririka kutoka milimani.
Mwinshehe angekuwa hai pengine angefika maporomoko ...
0 comments:
Post a Comment