ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, February 10, 2020

Rais mstaafu Mwai Kibaki afika kumpa heshima zake hayati Moi


Na wakenya walipokuwa wakitiririka katika majengo ya bunge kumtazama na kumpa buriani rais wa pili wa taifa hili, rais mstaafu mwai kibaki alifika kumuomboleza mtangulizi wake. Enock sikolia anaeleza uhusiano wa kisiasa kati marais hao wastaafu.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.