ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Saturday, February 8, 2020

KATIBU MKUU MAMBO YA NDANI AWASILI ZIMAMOTO BAADA YA KUAPISHWA. Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio (kushoto) akisalimiana na Maafisa wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Kamishna wa Utawala na Fedha wa Jeshi hilo Mbaraka Semwanza wakati alipotembelea Ujenzi wa Makao Makuu ya Jeshi La Zimamoto na Uokoaji jijini Dodoma.
 Kamishna wa Utawala na Fedha wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Mbaraka Semwanza akiwasilisha taarifa ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio, wakati alipotembelea Ujenzi wa Makao Makuu ya Jeshi ya Zimamoto na Uokoaji jijini Dodoma.
 Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio, akikagua Ujenzi wa Jengo la Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, wakati alipotembelea Ujenzi wa Makao Makuu ya Jeshi hilo leo jijini Dodoma.
 Picha ni sehemu ya Ujenzi wa Jengo la Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji unavyoendelea katika Makao Makuu ya Nchi jijini Dodoma. (Picha na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji)

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.