ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, January 5, 2020

MWANZA IMEJIPANGA HIVI KUFIKIA MALENGO SEKTA YA ELIMUNi katika Tamasha la utoaji TUZO ZA UMAHIRI KATIKA ELIMU MKOA WA MWANZA zilizoanzishwa na wadau wa elimu mkoa huo kama sehemu ya mkakati wa kuimarisha na kuongeza kiwango cha ufaulu kimkoa ambapo mgeni rasmi alikuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Serikali za Mitaa TAMISEMI, Selemani Jafo.

Hizi ni kauli za wasemaji mbalimbali waliopata nafasi ya kuwasilisha mapendekezo yao mbele ya Waziri wa OR TAMISEMI pamoja na halaiki ya hafla hiyo ya tuzo iliyotanguliwa na michezo mbalimbali ya ufunguzi kama chachu ya kujenga mahusiano.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.