AGIZO la Rais John Magufuli alialolitoa Desemba 7, mwaka
jana (2019) na kuutaka uongozi wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza, kujenga
madarasa matano katika Shule ya Msingi Iseni B katika Halmashauri hiyo,
limetekelezwa kwa zaidi ya asilimia 90.
Akizungumza mwishoni mwa wiki akiwa shuleni hapo, Waziri wa
Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Selemani
Jafo ameupongeza uongozi wa mkoa na jiji la Mwanza kwa utekelezaji wa agizo
hilo uliofanyika ndani ya mwezi mmoja na sasa umefikia hatua ya upauaji.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.