ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, December 29, 2019

WEST HAM YAMFUNGISHA VIRAGO WAKE MANUEL PELLEGRINI.


West Ham imemfukuza kocha Manuel Pellegrini baada ya saa chache kupita tangu wapate kipigo kutoka kwa Leicester City‬.

West Ham imepoteza mechi saba kati ya tisa zilizopita za ligi kuu nchini England ambapo wanashika nafasi ya 17 wakiwa na pointi 19.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.