Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Harrison Mwakyembe, ametuma salamu za rambi rambi kwa mkuu wa mkoa wa Tanga, Martin Shigella kufuatia vifo vya watu wawili ambao ni mashabii wa bondia Hassan Mwakinyo. Soma barua hiyo hapa chini.
0 comments:
Post a Comment