Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni, akisoma taarifa ya Hali ya Ulinzi na Usalama nchini mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nje, Ulinzi na Usalama (hawapo pichani),wakati wa kuwasilisha taarifa hiyo leo jijini Dodoma.Kushoto ni Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Meja Jenerali Jacob Kingu.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Jacob Kingu,akitoa ufafanuzi unaohusu utendaji wa Taarifa ya Hali ya Ulinzi na Usalama nchini mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nje, Ulinzi na Usalama (hawapo pichani), wakati wa kuwasilisha taarifa hiyo leo jijini Dodoma.Kulia ni Naibu Waziri wa wizara hiyo,Mhandisi Hamad Masauni.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro akizunguma wakati wa uwasilishaji waTaarifa ya Hali ya Ulinzi na Usalama nchini mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nje, Ulinzi na Usalama (hawapo pichani), wakati wa kuwasilisha taarifa hiyo leo jijini Dodoma. .Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
|
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.