Klabu ya Bayern Munich imefanikiwa kuifunga klabu ya Real Madrid 3-1 kwenye michuano ya International Champions Cup mjini Houston siku ya Jumamosi.
Mechi hiyo ambayo ilikuwa ya kwanza kwa mchezaji wa Madrid, Eden Hazard ambaye alipewa jezi yenye namba 50 mgongoni alishuhudia timu yake hiyo mpya ikichezea kichapo hiko.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.