ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, July 9, 2019

TUNAUNGANA NA AZAM MEDIA KUOMBOLEZA VIFO VYA WANAHABARI WENZETU.


⚫⚫UONGOZI na wafanyakazi wote wa JEMBE MEDIA LTD unatoa Pole kwa FAMILIA na MENEJIMENTI nzima ya AZAM MEDIA kwa vifo vya ghafla vilivyotokana na ajali ya gari kwa wafanyakazi wake watano. .
.
Hakika huu ni msiba mzito, Tunamuomba Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehema awape nguvu ndugu zetu hasa katika kipindi hiki kigumu, kigumu, kigumu.... Bwana awasimamie awape ustahimilivu.
.
.
Isiwe muda wa kuuliza kwanini hili, kwani Mola tu ndiye ajuaye, Majaribu ni Mtaji na hiyo ni njia yetu sote. Eh Mwenyezi Mungu tulinde sisi wanao......🙏🏽 #RIP .
.
@azamtvtz 
@jembefm
@jembenijembe 
@kikotifredy 
@ikulu_mawasiliano 
@gsengoTv
@johnjackson_jj 
@mansourjumanne 
@harith_jaha 
@mustafakinkulah 
@nattyebrandy 
@gijegije 
@deejaykflip 
@chrissthedj 
@mwakad25
@nzwalla_jr
#JembeHabariKwaUfupi 
#JembeHabari

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.