Mkurugenzi Mkuu wa Mwananchi Communications Limited, Francis Nanai na Mwakilishi wa Michezo ya kubahatisha Tanzania, Jihudi Ngolo wakikata utepe kuashilia uzinduzi wa Promosheni ya”Shinda Mchongo wa Mwanaspoti” ulifanyika katika ofisi za Mwananchi Communications Limited. Kulia ni Meneja masoko wa MCL, Sara Munema na Mkuu wa kitengo cha uzalishaji wa habari Mwananchi Communications Limited, Frank Sanga
Kutoka kushoto ni Mkuu wa kitengo cha uzalishaji wa habari Mwananchi Communications Limited, Frank Sanga, Mkurugenzi Mkuu wa MCL, Francis Nanai, Mwakilishi wa Michezo ya kubahatisha Tanzania, Jihudi Ngolo na Meneja masoko wa MCL,Sara Munema wakipiga mako) mara baada ya uzinduzi rasmi wa Promosheni ya “Shinda Mchongo wa Mwanaspo” uliyozinduliwa katika ofisi za Mwananchi Communications Limited.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.