Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU)leo kuwafikisha mahakamani watuhumiwa watatu waliohusika na uzuiaji wa mzigo wa mfanyabiashara ambaye sakata lake liliibuliwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakati wa kikao cha ya Rais na wafanyabiashara.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.