Mhe. Rais Magufuli anakutana na Wabunifu wa mitambo midogo ya kufua umeme kwa kutumia maji ya mito. Ikulu Jijini Dar es salaam. Tukio hili linarushwa moja kwa moja na vyombo vya habari vya Redio, Televisheni, Mitandao na Youtube channel ya Ikulumawasiliano.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.