ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Thursday, June 13, 2019

NAIBU WAZIRI MALIASILI NA UTALII AAHIDI MAKUBWA MICHUANO YA VOLLEYBALL MWANZA


NAIBU Waziri wa Maliasili na Utalii ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Geita Mjini Constatine Kanyasu ameahidi makubwa katika Jembe Mirjam East Africa Volleyball Championship 2019.

Hii ni Michuano ya Volleyball iliyoanza kwa kasi na kishindo ikihudhuriwa na mashabiki wengi kiasi cha kusisimua Jumatano hii ya Tarehe 12/Juni katika viwanja vya Mirongo wilayani Nyamagana jijini Mwanza na kutarajiwa kudumu hadi tarehe 16 ya Mwezi huu Juni 2019 ambapo mshindi atajulikana na kuchomoka na zawadi ya mtakato..

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.