ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, June 9, 2019

'IMETOSHA' ASEMA MONGELLA - ATOA SIKU 10 KWA KITUO CHA AFYA BWISYA KUKAMILIKA


Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella ameagiza ujenzi na upanuzi wa Kituo cha Afya Bwisya kilichopo katika Kisiwa kidogo cha Ukara wilayani Ukereni kukamilika ifikapo Juni 17, 2019.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.